Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka, nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X inayomilikiwa na singularity Company kama inavyooneka hapo chini.
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Tecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki
Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA
Camera...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is...
Wakuu,
Tufahamu kwamba Simba ndie mfalme wa nyika, ana uwezo wa kuwinda chochote kile na akafanikiwa hata Kama kinamzidi umbo na Nguvu.
Nnachojiuliza,
Kwanini huwa hawawindi FARU na kuwatumia...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.