Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara.
Amewashinda wafuatao :
◉ Reliants...
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema...
Kwa mara ya kwanza kwenye history ANC inakwenda kuunda Serikali ya mseto, hiyo ni red light na hawapo mbali kwenye anguko.
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
Jukwaa la mtandao wa kijamii X linasema kuwa sasa litaruhusu rasmi watu kuonyesha maudhui ya watu wazima waliokubaliana, ilimradi tu yameandikwa kuwa ni maudhui ya aina hiyo. Hatua hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.