Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
2 Reactions
24 Replies
294 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia...
1 Reactions
13 Replies
114 Views
Hivi huyu jamaaa alienda wapii maana alikua anaweza sana hasa kipindi cha bunge la wasikilizaji na weekend fever kama kid hayupo alikua anaweza sana huyuu mtuu ni level nyingine na SAUTI yake ya...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Kampuni ya Mbeya Cemetent Kwa mara ya kwanza imetangaza kutoa Gawio Kwa Wana hisa wake ikiwemo Serikali na NSSF kufuatia kuanza kupata faida ,hii ni baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo. Hatua...
1 Reactions
2 Replies
29 Views
Habari za humu jf Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:Chagga Elim Diploma Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Sina mtoto wala...
25 Reactions
133 Replies
2K Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
15 Reactions
70 Replies
2K Views
Habari ya asbuhi wajumbe. Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
0 Reactions
11 Replies
106 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,152
Posts
49,794,039
Back
Top Bottom