Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
17 Reactions
453 Replies
6K Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
6 Reactions
93 Replies
2K Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
40 Reactions
135 Replies
4K Views
  • Article
Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
14 Reactions
170 Replies
2K Views
Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Hotuba...
2 Reactions
11 Replies
212 Views
  • Suggestion
Tanzania Bara, kila halmashauri ina idara ya ardhi inayosimamia masuala yote ya ardhi chini ya Kamishna wa Ardhi. Ni muhimu kila mmiliki wa ardhi awe na hati/cheti halisi cha hakimiliki...
1 Reactions
1 Replies
15 Views
Salamu wakuu. Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale.Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele. Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo.Pisi Za Mji...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Lissu amesema tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze ni yeye peke yake ndio amewahi kuchaguliwa kama mbunge kutoka chama cha Upinzani, Dodoma ndio Kabisa wanachagua...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. JF ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado...
2 Reactions
19 Replies
162 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,162
Posts
49,794,205
Back
Top Bottom