Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Watu hawa wa East Asia:- i, Wakorea ii, Wachina iii, Wajapan. Wana akili sana. Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara. Ni muhimu sana...
0 Reactions
7 Replies
109 Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
1 Reactions
4 Replies
37 Views
TUambiane jamani tujue
0 Reactions
18 Replies
95 Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
4 Reactions
35 Replies
790 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na ziara zake huko vijijini, kwa lengo la kuelimisha Wananchi kuhusu masuala mbalimbali. Leo ilikuwa kijiji cha Ibaga ambako wananchi...
2 Reactions
19 Replies
486 Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
13 Reactions
54 Replies
1K Views
1. You know, gentleman, there is hell and there is another place below the hell. 2. If your tired, do it tired 3. I dont pay for suits; my suit are on the house or the house burn down? 4. Everyone...
0 Reactions
5 Replies
56 Views
A
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi...
1 Reactions
5 Replies
470 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,053
Posts
49,792,201
Back
Top Bottom