Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeshangaa siruhusiwi kureply wala kukoment chochote kwenye uzi Muungano: VP na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize Kinyemela Option ninayoruhusiwa ni ku- like tu,
2 Reactions
14 Replies
15 Views
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa, Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa, #Sasa 2025 tumuache...
23 Reactions
123 Replies
4K Views
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu. Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
12 Reactions
28 Replies
590 Views
Mpambano wa majiji mawili ya kanda ya ziwa
6 Reactions
5K Replies
394K Views
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
3 Reactions
6 Replies
7 Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
3 Reactions
21 Replies
451 Views
Kama unabisha fanya utafiti viongozi Wote wasio na Chembe ya Uzalendo hawajawahi Kupata mafunzo ya Kijeshi Pale UK baada ya changamoto ya Hamas iliyoitoa Dunia usingizini, PM Sunak amesema Kila...
2 Reactions
10 Replies
183 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
7 Reactions
25 Replies
572 Views
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha...
6 Reactions
24 Replies
470 Views
Morning Jf members. Naona wandele wengi hawaoni raha mpaka wavishwe pete kwenye vidole vyao virefu kama peni. Kwani ni lazima au mimi nguva jike ndo napuuza na sipo serious sana na mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,974
Posts
49,790,244
Back
Top Bottom