Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetoa mchango wangu wa mawazo kwa kadri nilivyobarikiwa kupitia akaunti. Nimekuwa mwana JF mtiifu wa sheria lakini nimebainishwa kwamba niwe makini na walimwengu. Walionipa taadhari ni watu...
5 Reactions
6 Replies
7 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
2 Reactions
22 Replies
351 Views
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
7 Reactions
45 Replies
602 Views
Wakuu mambo ni vipi wapenzi wa kabumbu. Huyu Jamaa ni kama Bado anaubonda mwingi sana, kwanini asingeendelea kupiga mbungi??
5 Reactions
27 Replies
506 Views
nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
1 Reactions
24 Replies
290 Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
8 Reactions
31 Replies
508 Views
Wakuu, natumai hamjambo, Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe. Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
5 Reactions
33 Replies
404 Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
6 Reactions
30 Replies
328 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,506
Posts
49,777,546
Back
Top Bottom