Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nabii ibrahimu aliitwa Baba wa Mataifa mengi ya wanaomcha Mungu. Mungu alimuahidi kumbariki yeye na Uzao wake. Alipata watoto wawili muhimu uzeeni kwake. Ismail alikuwa wa kwanza na wa pekee...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
129K Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
10 Reactions
118 Replies
2K Views
Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
2 Reactions
20 Replies
62 Views
  • Suggestion
Utapia mloa ni changamoto kubwa sana Tanzania, na utapia mloa ni ukosefu wa virutubiaho muhimu mwilini hasa sana Protein. Utapia Mlo ni ugonjwa wa Aibu kubwa sana hivyo ni lazima tuchukue hatua...
5 Reactions
11 Replies
40 Views
Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi...
7 Reactions
28 Replies
630 Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,451
Posts
49,663,246
Back
Top Bottom