Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka...
0 Reactions
3 Replies
53 Views
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
0 Reactions
5 Replies
56 Views
Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
1 Reactions
20 Replies
348 Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
10 Reactions
103 Replies
1K Views
Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
3 Reactions
17 Replies
168 Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
5 Reactions
16 Replies
190 Views
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa. Size hio ni sawa na...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Ukweli unaendelea kudhihirika ya kwamba Mbinu ya uongozi anayotumia mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Makonda ndio the best way. Alizomewa na kupigwa majungu, waliomfitini wanarudia kutenda kwa...
13 Reactions
33 Replies
1K Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
49 Reactions
351 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,461
Posts
49,776,156
Back
Top Bottom