Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika...
3 Reactions
8 Replies
156 Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
7 Reactions
134 Replies
2K Views
Peace, Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
7 Reactions
43 Replies
991 Views
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka...
59 Reactions
163 Replies
9K Views
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika...
19 Reactions
93 Replies
3K Views
S2Kizzy Mika Mwamba Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki...
5 Reactions
47 Replies
690 Views
Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
1 Reactions
6 Replies
124 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
27 Reactions
1K Replies
34K Views
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa Rais wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
4 Reactions
11 Replies
205 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,361
Posts
49,660,816
Back
Top Bottom