Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London. Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
5 Reactions
100 Replies
563 Views
Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito. Walichofanya ni kuiongezea nguvu na...
0 Reactions
10 Replies
142 Views
https://youtu.be/j2zG0tJKnoU?si=ZlKgk9sG-3f1DIue
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna wakati unaweza kukuta usingizi umekata ghafla hlf bado ni katikati ya usiku mwingi. Muda huo ni mtihani maana unaweza usijue ufanye shughuli gani maana bado ni usiku mkuu. Hapo kuna...
10 Reactions
17 Replies
528 Views
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yankujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere bridge kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
0 Reactions
15 Replies
155 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
2 Reactions
191 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,323
Posts
49,772,035
Back
Top Bottom