Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
6 Reactions
39 Replies
849 Views
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
3 Reactions
162 Replies
3K Views
Wakuu kwema, nataka kwenda huko kimatembezi zaidi napenda sana nchi za watu wa macho madogo kama Japan, Korea, Vietnam, China ila kwa sasa naangalia sana Korea Kusini. Naomba muongozo kwa...
9 Reactions
62 Replies
10K Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo hii kinafanya Mkutano Mkuu Maalum Jimbo la Mjini Morogoro. Kuna Chaguzi kadhaa za Viongozi wa Jimbo pamoja na...
9 Reactions
37 Replies
457 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
10 Reactions
57 Replies
549 Views
Habari za jpili! Miaka ya nyuma TACAIDS walikuwa mstari wa mbele kufanya harakati za mapambano ya maambukizo mapya ya hiv. Kwa namna moja au nyingine ilisaidia mabinti kuogopa Mafataki. Leo...
3 Reactions
10 Replies
328 Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
15 Reactions
40 Replies
713 Views
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana...
30 Reactions
201 Replies
2K Views
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!! Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
31 Reactions
290 Replies
16K Views
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
1 Reactions
39 Replies
235 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,976
Posts
49,761,131
Back
Top Bottom