Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba...
1 Reactions
17 Replies
145 Views
Baada ya Uteuzi wa Dkt Mwigulu Nchemba ambae pia ni waziri wa Fedha kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mipango pameibuka minong'ono mingi hasa huku mitandaoni. Wanong'onaji wanahoji ni kwanini Rais Dkt...
9 Reactions
24 Replies
806 Views
Zimebaki 3 tu,nazigawa kwa bei ya China, nataka 140K kwa zote. Kutoka 75K moja,mtaji usharudi sasa nazigawa...piga 0625697394 Origina QX7 smartwatch Please buy 🙏
0 Reactions
0 Replies
1 Views
I'm proudly black man Ila waafrica wengi tuna matatizo sana Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern Lkn tunaofatilia mpira...
1 Reactions
10 Replies
246 Views
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
9 Reactions
35 Replies
466 Views
Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
16 Reactions
135 Replies
2K Views
Hivi ushawahi kutana na tukio la kibabe mda wa kufanya mapenz I ,,,,hebu tiririka hapa tupeane story
0 Reactions
9 Replies
312 Views
Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC...
3 Reactions
40 Replies
903 Views
Natoa wito Kwa Wabunge kumuwajibisha Waziri Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TanRoads walisainiana Mikataba hewa na wakandarasi wa kichina na Sasa mwaka umepita Serikali inasema inaendelea na...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Joseph Kasheku Msukuma na Jumanne Kishimba "hawajashule" kiviile, lakini si wajinga. Ni miongoni mwa wanasiasa wanaoongoza kwa kuwabeza wasomi wa Kitanzania. Kuna baadhi ya watu wameonesha...
3 Reactions
23 Replies
355 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,610
Posts
49,750,970
Back
Top Bottom