Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba...
1 Reactions
18 Replies
145 Views
Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho. Dada lao ameamua kumchallenge PK mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse)...
2 Reactions
3 Replies
78 Views
UPDATE: Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo Kura...
3 Reactions
21 Replies
815 Views
Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC...
3 Reactions
43 Replies
903 Views
Salaam, Shalom!! Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
17 Reactions
138 Replies
2K Views
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya...
8 Reactions
101 Replies
3K Views
Bojour wazeeee! Watu wengine makomwe sana. Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati...
35 Reactions
140 Replies
3K Views
Habari zenyu kwema? Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
2 Reactions
56 Replies
593 Views
  • Poll
Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya...
2 Reactions
15 Replies
393 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,614
Posts
49,751,023
Back
Top Bottom