Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi. Taarifa kamili hii hapa Pia...
0 Reactions
17 Replies
393 Views
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln. Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
3 Reactions
17 Replies
577 Views
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa...
6 Reactions
17 Replies
377 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
4 Reactions
105 Replies
1K Views
Natoa wito Kwa Wabunge kumuwajibisha Waziri Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TanRoads walisainiana Mikataba hewa na wakandarasi wa kichina na Sasa mwaka umepita Serikali inasema inaendelea na...
3 Reactions
40 Replies
808 Views
  • Article
Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo...
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Hari zenu wana JF, Kuna gari aina ya IST imeibwa leo, yeyote atakaeiona naomba atupe taarifa simu 065 954 6653 078 495 5561 T. 441 DZD Kuna zawadi nono kwa atakae...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,504
Posts
49,748,560
Back
Top Bottom