Utakatishaji pesa ni nini? Kitendo cha kufua pesa ni pale ambapo mtu mwenye pesa chafu Za ufisadi (toka kwenye upigaji wa miradi mbali mbali ya seriakali), au pesa chafu za uuzaji wa madawa ya...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake.
Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
DR. BUSHIRI TAMIM PICHA MBELE YA DAILY NEWS YUKO KAZINI MADAKTARI WENZAKE WAKO KATIKA MGOMO
Nilikuwa nimefadhaika sana kwa kukosa picha ya Daily News ikimuonyesha Dr. Tamim akiwa kazini wakati...
Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu
Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha)
Ndugu...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.