Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
13 Reactions
49 Replies
665 Views
Ni ushauri tu kwa ndugu zetu Chadema wazee wa Chopa Kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi Chopa siyo za kuziamini tena Tunawapenda nyote Mlale Unono 😀
3 Reactions
9 Replies
106 Views
S2Kizzy Mika Mwamba Leo kumekuwa na ubishani mkali, je ni nani Producer Bora wa mziki , kati ya Producer namba moja wa muda wote wa Tanzania ajulikanae kama s2kizzy, na engineer wa mziki...
5 Reactions
36 Replies
598 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
18 Reactions
465 Replies
13K Views
They say 'life begins at forty!' Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia...
3 Reactions
25 Replies
301 Views
Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani. Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo...
2 Reactions
9 Replies
179 Views
Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
35 Reactions
192 Replies
3K Views
Wanawake wengi katika ndoa hulalamika sana hasa kutokana na kukosa msisimko wa mapenzi wakati wa faragha. Wanalalamika kwa kuwa wanaume kila siku hutoa kitu kilekile, anakubusu, anakugusa kidogo...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Kongole sana kwa huyu mwamba kuwa title contenders katika ubingwa wa EPL! 🏆👏🏾
0 Reactions
2 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,251
Posts
49,656,520
Back
Top Bottom