Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko.
Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .
Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake
Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wanankumbi mko njema
Katika hali ya kawaida nilienda kusuuza rungu kwa binti mmoja ivi
Kama kawaida yetu huwa hatunaga show mbovu, nikamwandaa kisaikolojia vizurii kabla hatujaingia ktk pit...
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.
Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.
Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.