Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
1 Reactions
15 Replies
141 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
13 Reactions
53 Replies
401 Views
Kuna kelele kubwa mno ya rushwa na maonevu nchi nzima serikalini,mahakamani,vyombo vya dola, CCM,Chadema, sekta binafsi je tutaponea wapi wananchi. Ndiyo maana tumekimbilia kwa Makonda
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtoto wangu Ana miezi Saba juzi mama ake amenambia hajawahi kumuona alisimamisha uume Ilinichanganya Sana akili ilibidi nijipe mda nkakaa nae Kama masaa mawili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
7 Reactions
38 Replies
39 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
12 Reactions
119 Replies
2K Views
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji aziza key sisi kama wanasimba tunamuona okw kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
88 Replies
851 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
2 Reactions
5 Replies
10 Views
Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa...
8 Reactions
37 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,024
Posts
49,735,958
Back
Top Bottom