Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g baadhi ya waandishi walituhaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafshisha badandri zetu kwa DP...
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
Wakuu.
Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi.
Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje...
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni....
“One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As...
Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni...
Mheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe...
WanaBodi..
Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi.
Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa...
Bojour wazeeee.......!!!!
Watu wengine makomwe sana.....
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia,ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.