Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode.Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa...
1 Reactions
8 Replies
114 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
6 Reactions
28 Replies
435 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji. Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana...
6 Reactions
26 Replies
574 Views
Taja!!!!!! Note: Acha kuigiliza wenzako tafadhali
1 Reactions
24 Replies
25 Views
MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya...
1 Reactions
4 Replies
103 Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
20 Reactions
202 Replies
3K Views
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye...
1 Reactions
4 Replies
51 Views
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao Nikiwa...
4 Reactions
5 Replies
14 Views
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga...
19 Reactions
223 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,703
Posts
49,725,821
Back
Top Bottom