Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
6 Reactions
58 Replies
536 Views
Kwanza amesema yule mdada alikuwa hasikiki vizuri,wakati yule mdada alikuwa anasikika vizuri. Kosa la pili,ni kwamba kasema yule mdada siyo mzuri kuliko mke wake. Hilo ni kosa,kwa sababu mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
6 Reactions
49 Replies
619 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Jukwaa la love connect ni jukwaa sensitive sana. Watu waanze kuingia kwa kuomba kupitia moderators. Sababu kuu ni kwamba kuna members humu wanafanya jukwaa lisionekane serious kiasi kwamba...
2 Reactions
28 Replies
170 Views
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga...
19 Reactions
239 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amesema ni kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka "Wale hawana...
8 Reactions
39 Replies
1K Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
6 Reactions
136 Replies
1K Views
Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu NB, hii ni...
2 Reactions
80 Replies
557 Views
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
5 Reactions
77 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,726
Posts
49,726,691
Back
Top Bottom