Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa...
11 Reactions
36 Replies
196 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji. Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
11 Reactions
81 Replies
2K Views
Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
6 Reactions
51 Replies
468 Views
Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya! Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa...
1 Reactions
8 Replies
108 Views
Wakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa...
3 Reactions
4 Replies
15 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
9 Reactions
67 Replies
958 Views
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
3 Reactions
17 Replies
189 Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
5 Reactions
121 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
9 Reactions
43 Replies
856 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,723
Posts
49,726,447
Back
Top Bottom