Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
17 Reactions
162 Replies
3K Views
  • Poll
Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!! Kina ukweli asilimia ngap? Twendeni kwa hoja
1 Reactions
1 Replies
11 Views
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa...
9 Reactions
46 Replies
435 Views
Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
18 Reactions
157 Replies
4K Views
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa Jamaa zetu walokole wamekuwa wakinijinasibu kuwa wameshikilia wokovu yaani wameokoka, leo ningependa watupe elimu hasa juu ya wanachokiita kuokoka baada ya...
1 Reactions
6 Replies
19 Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
3 Reactions
9 Replies
37 Views
  • Suggestion
Huduma za afya katika nchi yoyote hutolewa kwa kuzingatia madaraja mbalimbali ya vituo vya kutolea huduma. Hii Ina maana kuwa kuna baadhi ya magonjwa au maradhi ambayo huweza kutibiwa kwenye ngazi...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga. Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya...
2 Reactions
4 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,682
Posts
49,669,386
Back
Top Bottom