Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
3 Reactions
28 Replies
130 Views
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa...
2 Reactions
6 Replies
28 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
38 Reactions
332 Replies
3K Views
I nashangaza unapoona watu wanaokusaidia unawatupa Huyu kijana anajitahidi na anacheza kwa kujituma. Unamuachiaje??
3 Reactions
11 Replies
407 Views
  • Suggestion
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo. Nikweli Africa...
0 Reactions
4 Replies
33 Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
2 Reactions
9 Replies
108 Views
Nakaribisha wajuvi wa mambo kuhusu Iran. Huyu General Qassem Soleimani alikuwa na nini cha ziada ? Mbona wa Iran wengi huonesha kumkubali na kusikitishwa zaidi na kifo chake mpaka leo licha ya...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
13 Reactions
108 Replies
2K Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
15 Reactions
79 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,463
Posts
49,663,478
Back
Top Bottom