Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
23 Reactions
138 Replies
3K Views
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara. Huko Kenya Cheo...
3 Reactions
15 Replies
710 Views
Ukiona hivi vitu basi jua upo Bongo Tanzania Tupia aina kibwagizo
1 Reactions
8 Replies
62 Views
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
5 Reactions
79 Replies
931 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
37 Reactions
330 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
42 Reactions
210 Replies
4K Views
Good evening jf members, I've decided to use English to reduce the number of insults from certain annoyed members. As a Young Africans S.C supporter and a passionate Tanzanian football fan, I...
0 Reactions
7 Replies
67 Views
Mliosoma magu secondary tukumbushane uzuri wa mazingira ya shule yetu pamoja na changamoto zake
2 Reactions
1 Replies
61 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
14 Reactions
68 Replies
946 Views
Wakuu kwema Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea...
9 Reactions
122 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,451
Posts
49,663,246
Back
Top Bottom