Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
162 Replies
10K Views
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
11 Reactions
77 Replies
948 Views
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM. Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya...
16 Reactions
85 Replies
11K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
1 Reactions
7 Replies
79 Views
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari...
21 Reactions
125 Replies
3K Views
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
3 Reactions
34 Replies
326 Views
Miradi mingi ya ujenzi wa miundombinu inajegwa na wakandarasi wa kigeni hasa Wachina, miradi hiyo mingi imesimama pesa ya kuwalipa hakuna. serikali inajaribu kuwashawishi waendelee kujenga kwa...
4 Reactions
4 Replies
73 Views
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
8 Reactions
100 Replies
1K Views
Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
1 Reactions
1 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,832
Posts
49,641,956
Back
Top Bottom