Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Habari ya jioni wana Jf poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Baada ta kupoteza Id yangu ya zamani nilisema sitarudi tena Jf ila kwa hili imebidi nije mwenyewe. Naombeni mnipe ushauri.
Nimekuwa...
Habari zebu,,
Kuna ile tabia unaenda dukani unanunua kitu unazidishiwa au chenji inarudi imezidi.. Kuna wengine waungwana husema papo hapo na kuna wengine hutoka na speed 120km/h bila kuangalia...
Ili kukusaidia kufahamu tena jinsi ulimwengu wetu ulivyo mkubwa sana, hapa angalia mitandao mitano mirefu zaidi ya barabara kuu duniani.
1. Barabara kuu ya Pan American
Ikinyoosha kutoka...
20 May 2024
Ikungi, Singida
Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi
https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8
Msemaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.