Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
HAKUNA MTETEZI WA MASIKINI, JITETEE KWANZA WEWE MWENYEWE
Na Comrade Ally Maftah
Kuna habari za watu kusubiria watetewe na wengine, jiondoe kwenye akili ya hivi, elewa kama kuna mtu amekutetea...
Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Iran imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa rais mnamo Juni 28, kufuatia kifo cha rais Ebrahim Rais na maafisa wengine katika ajali ya helikopta wakati mazishi yakitarajiwa kufanyika Jumanne...
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike.
Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
Mahakama ya uhalifu wa kivita yenye makao yake makuu The Hague nchini Uholanzi imetoa hati ya kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wake wa usalama Yoav Gallant kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.