Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya. Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
23 Reactions
321 Replies
10K Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
115K Views
Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua. Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita...
0 Reactions
6 Replies
82 Views
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
4 Reactions
25 Replies
377 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Anaitwa Jamileh-Sadat Alamolhoda mke wa Rais Ebrahimu Raisi aliyefariki karibuni
0 Reactions
4 Replies
191 Views
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
1 Reactions
5 Replies
68 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
56 Reactions
224 Replies
6K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
130K Views
E bana wanajamvi inakuwaje? Nyie Sunni tunawajuwa vizuri mlivyo na chuki kwetu. Huu msiba wa mpendwa wetu Ebrahim Raisi ni wetu washia siyo wenu. Acheni kujipendekeza. Mtuache tuomboleze kwa...
1 Reactions
21 Replies
288 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,655
Posts
49,668,594
Back
Top Bottom