Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
49 Reactions
247 Replies
5K Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
7 Reactions
130 Replies
3K Views
E bana wanajamvi inakuwaje? Nyie Sunni tunawajuwa vizuri mlivyo na chuki kwetu. Huu msiba wa mpendwa wetu Ebrahim Raisi ni wetu washia siyo wenu. Acheni kujipendekeza. Mtuache tuomboleze kwa...
3 Reactions
27 Replies
370 Views
Uteuzi wa Makonda kwenda kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha nina hakika ni mpango mkakati wa Mama wa kutaka Arusha sasa siasa zake zibadilishwe kwa kufanyiwa kazi kwa kero za wananchi kweli kweli. Nina...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
5 Reactions
29 Replies
393 Views
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
15 Reactions
101 Replies
2K Views
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako. Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia. Hapa...
7 Reactions
38 Replies
330 Views
Taja mambo 3 Yanga wayafanye katika kusherekea Ubingwa wao ambao watakabidhiwa mei 25,2024
1 Reactions
5 Replies
180 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua...
0 Reactions
4 Replies
143 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,659
Posts
49,668,696
Back
Top Bottom