Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na picha ya ndege iliyopata ajali kwenye mtandao wa X ikidai ni ndege iiyopotea iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Rais wa Malawi. Je ni kweli picha na taarifa hiyo ni...
1 Reactions
3 Replies
282 Views
yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
1 Reactions
13 Replies
188 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
16 Reactions
197 Replies
2K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
122 Replies
11K Views
Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura. Kwahiyo nyingi zinapigwa kelele...
3 Reactions
34 Replies
961 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
71 Reactions
240 Replies
7K Views
  • Suggestion
JIWEKEE AKIBA UWE HURU KIUCHUMI Katika hali ya kawaida watanzania wengi hatuna tabia ya kuweka akiba. Hii imetokana na mazoea ya kawaida ya kuishi kutokana na kipato tunachopata. Tabia hii...
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
12 Reactions
57 Replies
606 Views
Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu Nimeskia sana telesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya yanga na mazembe Means musonda kwenda Congo na baleke aje yanga .. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana...
5 Reactions
26 Replies
679 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,402
Posts
49,857,171
Back
Top Bottom