Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
7 Reactions
20 Replies
487 Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
4 Reactions
70 Replies
926 Views
Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli...
0 Reactions
34 Replies
1K Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
58 Replies
2K Views
MBUNGE NDAISABA RUHORO ATAKA VITUO VYA FORODHA KUFANYA KAZI MASAA 24, NGARA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
1 Reactions
15 Replies
188 Views
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake. Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
kwa Tanzania bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu. wasting his potential at yanga. huyu hata Manchester United anapita.
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu. Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
2 Reactions
15 Replies
260 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,403
Posts
49,857,198
Back
Top Bottom