Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Naibu Rais wa Kenya Bwana Gachagua amekosolewa Vikali Kwa kuanzisha na kirahisi kuipigia chapuo sera ya ubaguzi wa kiuchumi aliyooiita Kwa jina la One Man,One Vote,One Shiling.
Wabunge kutoka...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
Watoto wa mke wa pili huwa wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.