Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.
Hayo yamebainishwa...
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
Waziri Mkuu wa Slovakia mbaye ni mkosoaji mkubwa wa upelekaji misaada ya silaha Ukraine amepigwa risasi nne wakati akihutubia wananchi na amekimbizwa hospital na helicopter kwa matibabu...
Kwanini unchallenge mtu wa rais?
Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi.
Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake...
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.