Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima...
1 Reactions
4 Replies
207 Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
13 Reactions
86 Replies
6K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa...
6 Reactions
33 Replies
963 Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
6 Reactions
93 Replies
2K Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
2 Reactions
10 Replies
137 Views
Juni 5, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
0 Reactions
5 Replies
96 Views
Kufuatia mlengo wa mbali kulia kupata viti vingi bunge la Ulaya. Rais Emmanuel Macron kavunja Bunge. Hivyo uchaguzi mpya wa wabunge utafanyika tarehe 30 June na awamu ya pili ni tarehe 7 July...
0 Reactions
5 Replies
75 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,793
Posts
49,841,502
Back
Top Bottom