Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO. Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu...
3 Reactions
8 Replies
164 Views
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
10 Reactions
142 Replies
5K Views
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe...
0 Reactions
13 Replies
94 Views
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana...
17 Reactions
64 Replies
622 Views
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo. Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina...
5 Reactions
45 Replies
810 Views
Ifike muda haya mambo yazungumzwe tena. Hivi hawa wazungu wakijua kuwa beberu ni mbuzi dume, tena lile dume haswa wanatuelewa vipi? Pata picha beberu anapoomba mechi. Kwa lugha nyingine sisi...
2 Reactions
4 Replies
121 Views
Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya, Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini...
1 Reactions
9 Replies
126 Views
Kuna feelings flani hivi ameiziiing Eti wakuu?
2 Reactions
17 Replies
194 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,893
Posts
49,758,915
Back
Top Bottom