Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehmu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
1 Reactions
5 Replies
29 Views
Tunakumbushana tu points muhimu kwamba Usawa unapimwa pia kwa Usajili wa UN siyo Idadi ya watu pekee. Ahsanteni sana 🐼
4 Reactions
63 Replies
1K Views
Nchi ni siku ya tatu leo watu wapo na mkwamo wa internet waziri yupo tu karelax Anafanya nini ofisini?Kwani asijiuzulu haraka huyu mtu? Nape anafaa kuwajibishwa!! Kwanza yeye kwa maksudi ndo...
6 Reactions
14 Replies
96 Views
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
5 Reactions
13 Replies
340 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
3 Reactions
11 Replies
75 Views
Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae...
2 Reactions
19 Replies
889 Views
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji,ambapo Dodoma ilipandishwa hadi na kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wamarekani wana mambo kweli. There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
6 Reactions
38 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,628
Posts
49,609,137
Back
Top Bottom