Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti...
0 Reactions
24 Replies
612 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemrejesha kwenye nafasi yake aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL), Dk Nyambura Moremi aliyesimamishwa kazi Mei 4, 2020 kupisha uchunguzi...
15 Reactions
137 Replies
7K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
3 Reactions
24 Replies
25 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi...
25 Reactions
497 Replies
53K Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
1 Reactions
32 Replies
397 Views
Yani sikuhizi ukiangalia muvi / series utagundua kwamba wameanza kuyapa nafasi kubwa mambo flani kuonesha kwamba ni kawaida, its ok, hakuna tatizo, n.k. Nchi kama za ulaya na marekani tunaona...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wadau Mimi ni kijana mwenzenu ambaye Nina degree lakini sio ya ualimu. Nimekuwa nikifundisha somo la Physics kwa muda mrefu katika shule mbalimbali za binafsi kwa mafanikio makubwa tu kwa...
2 Reactions
1 Replies
33 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,816
Posts
49,614,493
Back
Top Bottom