Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa sasa Azam akisnda mech izote atakuwa na points 69, Yanga ina points 68, Kesho ikitoa sare ya point 1 bado sio tiketi ya ushindi, Inabidi ishinde mchezo wa kesho. Yanga 3 – 2 Azam Azam 2 – 1...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
10 Reactions
30 Replies
723 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu. Haya tuwaulizeni...
27 Reactions
76 Replies
2K Views
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya...
3 Reactions
1 Replies
5 Views
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
18 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :- Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa...
1 Reactions
11 Replies
607 Views
Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni, Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji, wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa. Ulikuwa mjadala...
17 Reactions
68 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,410
Posts
49,603,711
Back
Top Bottom