Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja. Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata. Lengo langu nilitaka nipate maisha...
7 Reactions
31 Replies
307 Views
Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko...
4 Reactions
8 Replies
219 Views
Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza...
4 Reactions
9 Replies
370 Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
1 Reactions
11 Replies
218 Views
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti. Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja...
2 Reactions
15 Replies
519 Views
Naombeni majibu wandewa,kuna mmoja aliniambia wanafanya ivo kwasababu ma boss wao uwa wanawasumbua,Je kuna ukweli kwenye hili!?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
We warned but were never listened to,infact we were ridiculed.Our beloved Magufuli also warned,but was never listened to and infact that very thing cost his life.Now according to the UN,and US...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
6 Reactions
97 Replies
2K Views
Tatizo la internet bado liko pale pale hasa Mkoa wa Mwanza. Internet bado inafunguka pole pole mno. Kuna tatizo gani?.
1 Reactions
6 Replies
124 Views
Kheri siku ya mama dunia! ❤️🤱🏾
4 Reactions
9 Replies
167 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,451
Posts
49,604,504
Back
Top Bottom