Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ndio hali ilivyo kwa kozi ya PSV veta changombe, kozi ni ya wiki mbili, utasubili cheti zaid ya miez 3 kiufupi utakwama hii ni changamoto na inaumiza mno. Sent from my Infinix X665B using...
0 Reactions
6 Replies
71 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
5 Reactions
70 Replies
577 Views
Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
4 Reactions
40 Replies
372 Views
Ebu wabongo kuweni seriously kidogo na maisha jamani khaa🤣🤣🤣 Otikii otikiii hii imeenda
1 Reactions
30 Replies
305 Views
Mahojiano yake na mwananchi gazeti tarehe 23 Machi, 2014. Mchungaji Christopher Mtikila ni mmoja ya wanasiasa ambao kwa miaka zaidi ya 20 sasa, wamekuwa wakililia kurejea Serikali ya Tanganyika...
2 Reactions
10 Replies
156 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
14 Reactions
266 Replies
2K Views
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard...
4 Reactions
12 Replies
135 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
18 Reactions
77 Replies
549 Views
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana. Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na...
8 Reactions
22 Replies
389 Views
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,163
Posts
49,592,194
Back
Top Bottom