Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Ndugu zangu Waislamu, leo napenda kuzungumzia masuala muhimu yanayohusu ndoa katika Uislamu. Ndoa ni taasisi takatifu na muhimu katika Uislamu ambayo inaongozwa na mafundisho ya dini yetu. Hapa...
Waziri wa Kilimo mh Bashe ameliambia Bunge timu ya wizara yake itamwita Mwekezaji MO Dewji Ili kujua matazamio yake kwenye mashamba aliyouziwa na Serikali kwa Masharti maalumu huko Korogwe Tanga...
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya...
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.