Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume
5 Reactions
19 Replies
60 Views
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali. Sasa mwaka fulani hivi...
3 Reactions
8 Replies
46 Views
4 Reactions
21 Replies
353 Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
3 Reactions
19 Replies
397 Views
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
4 Reactions
119 Replies
1K Views
Habara mwanajukwaa la michezo. Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur. Jana baada ya ile Half...
1 Reactions
16 Replies
403 Views
Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya...
7 Reactions
20 Replies
312 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
216K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,066
Posts
49,589,051
Back
Top Bottom