Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili...
Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya...
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.
Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe...
Walevi kutoka ile bar wamenipigia simu kuwa kuna moto unawaka Mawinguni, baada ya B12,Adam Mchomvu, DJ D Ommy kutolewa XXL na kupelekwa kipindi cha Jahazi inadaiwa kuna Media tayari imefanya...
Ndugu zangu Waislamu, leo napenda kuzungumzia masuala muhimu yanayohusu ndoa katika Uislamu. Ndoa ni taasisi takatifu na muhimu katika Uislamu ambayo inaongozwa na mafundisho ya dini yetu. Hapa...
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Mwanamke pia sharti uwe na uwezo wa kuleta mezani vitu kama title deed, logbook, biashara, kampuni. Ni lazima tuwe na kizazi cha wanawake ambao kazi yao sio tu kuchora eyebrows, chora eyebrows na...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.