Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu bwana!. Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa. Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
14 Reactions
41 Replies
1K Views
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
11 Reactions
31 Replies
545 Views
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
30 Reactions
521 Replies
6K Views
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
3 Reactions
41 Replies
236 Views
Waziri wa Kilimo mh Bashe ameliambia Bunge timu ya wizara yake itamwita Mwekezaji MO Dewji Ili kujua matazamio yake kwenye mashamba aliyouziwa na Serikali kwa Masharti maalumu huko Korogwe Tanga...
1 Reactions
7 Replies
397 Views
Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
2 Reactions
10 Replies
69 Views
Habari Wanajamvi..... Leo katika pita pita zangu, nimejikuta nimefika Dampo la Dar es salaam lililopo Pugu ~ Kinyamwezi. Huko bana kilichonipeleka ni mihangaiko tu lakini nimetoka na kitu ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
164K Replies
5M Views
Habari za masiku naheri ya mwaka mpya Kuna id 3/2 huwa nazifuatilia kimya kimya naona leo zimekula ban Inakuwaje jamii forum hii ya ukweli na uhuru wa kujieleza inagawa ban hivi Cc
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha. Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake. Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
2 Reactions
16 Replies
157 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,761
Posts
49,580,582
Back
Top Bottom