Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi,nguli wa sheria Lissu anafutwa uanachama,kwakweli Wanachadema kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili mbowe ashike adabu yake. Hakika...
3 Reactions
39 Replies
273 Views
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
1 Reactions
32 Replies
446 Views
Kwa anaye faham ni aina gani ya chain saw ni nzuri kwa matumizi ya kawaida. namaanisha Imara na spare zinapatikana
1 Reactions
3 Replies
53 Views
Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
1 Reactions
25 Replies
186 Views
Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata...
13 Reactions
62 Replies
582 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na...
3 Reactions
44 Replies
592 Views
Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoanikilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
8 Reactions
136 Replies
853 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,994
Posts
49,586,462
Back
Top Bottom