Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.
Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.
Wadudu OG ni...
Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako...
Raisi Kigeugeu Duniani, Alikurupuka na kutoa kauli ya kisiasa baada ya kuvutishwa bange na wahuni HAMAS Kitu cha Gaza ni balaa lazima uwe mwehu..
Bange ilipoisha anaambiwa babu umefanyaje haamini...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema Bunge la Dodoma lina Wabunge 50 wa Zanzibar ( Minority) na Wabunge 250 wa Tanganyika ( Majority) hivyo wakati mwingine hufanya Maamuzi...
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba...
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.