Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
256K Views
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda. Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini...
4 Reactions
34 Replies
390 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi?
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
6 Reactions
116 Replies
3K Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
1M Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa Tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
3 Reactions
15 Replies
122 Views
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
1 Reactions
6 Replies
184 Views
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni...
4 Reactions
21 Replies
658 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,845
Posts
49,582,072
Back
Top Bottom