Hapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki...
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.
Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.
Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
Ukiangalia mlolongo wa Wawekezaji wa ndani waliopewa Viwanda na serikali ya Mkapa wakati wa sera ya ubinafsishaji na wamevitelekeza wote ni Waswahili waarabu akina Abood, Mo Dewji, Manji na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha).
Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.